Hongera, Sa ulihamaje huko Mzee kwenye activities na perdiem za kutosha, vijana ndio wanalilia huko maana hizi Halmashauri hazielewekihahaha sikua na njaa kwasabab taasisi yenyewe ni kubwa na activities zilikua za kutosha so posho zilikua zinaendesha life
Tuko liveJamani mambo yamekaribia
Vipi mkuu, ESS makato yamepita..?Tuko live
Huko bado.Vipi mkuu, ESS makato yamepita..?
Nilipata taasisi inayolipa vzr zaid ya ile ndio nikahama mkuu mm nilianza na bachelor 1.2M nikaona bodi ya korosho wanatoa zaid nikasepa, wanatoa zaid nikatembeaHongera, Sa ulihamaje huko Mzee kwenye activities na perdiem za kutosha, vijana ndio wanalilia huko maana hizi Halmashauri hazieleweki
Unyama sana Mkuu, Maokoto kwanzaπNilipata taasisi inayolipa vzr zaid ya ile ndio nikahama mkuu mm nilianza na bachelor 1.2M nikaona bodi ya korosho wanatoa zaid nikasepa, wanatoa zaid nikatembea
Tutafute pesa tu tusiridhike kukaa sehem moja, kwenye hiihii serikari kuna watu mnaelimu sawa mmeajiriwa sawa lakin anakuzidi mshahara. So nikupandana tu kwenda uko uko wote tule mwema ya nchiU
Unyama sana Mkuu, Maokoto kwanzaπ
Hatari na yote yansubir mshahara!!!Bora mshahara uchelewe tu nina madeni mengi mno
Tutafute pesa tu tusiridhike kukaa sehem moja, kwenye hiihii serikari kuna watu mnaelimu sawa mmeajiriwa sawa lakin anakuzidi mshahara. So nikupandana tu kwenda uko uko wote tule mwema ya nchi
πNaona makato bado. Tuendelee kujifukiza π
Ijumaa mzigoNaona makato bado. Tuendelee kujifukiza π
Kesho 22.01.26Ijumaa mzigo
HADI sasa makato bado mkuu na makato wakiweka huwa ni baada ya masaa 24 mzigo unazamaKesho 22.01.26
Hii mpka tarehe 25HADI sasa makato bado mkuu na makato wakiweka huwa ni baada ya masaa 24 mzigo unazama
Siendi kazini MkuuHii mpka tarehe 25