kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 1,161
- 2,202
Upo taasisi ganiWakuu, hivi mwezi wa saba sindiyo mwaka mpya wa fedha? Sasa naomba kuuliza kama katikati ya mwezi huo posho zipo kama kawaida? Namaanisha extra duty, chakula na posho nyinginezo?
NB: Mimi ni ajira mpya
Musoma mjini?Huwa mnaangalia wapi hayo makato
Mimi ajira mpya wilaya Ya musoma
Pesa ya wote hii karibuHatuchezi mbali, pokeeni huo mzigo tuwakope
una "ATM" yakd au una "ATM card" yaje ?NMB najua itatema muda wowote. Kuna mtu namdai na Nina ATM yake hapa
Ndio kaka nina miezi miwili hapa Mjini.Musoma mjini?
Unamiliki genge la kausha damu mkuu😄NMB najua itatema muda wowote. Kuna mtu namdai na Nina ATM yake hapa
Hahahaa achana na samaki ww enjoy maisha kwanza. Kula restaurant mwaka mzima ndio uanze kufikiria kujipikirisha.Ndio kaka nina miezi miwili hapa Mjini.
Nielekeze machaka ya Samaki Sangara
Sangara ni nyakato pale, lakn pia baruti kuna sehem kwa chini ziwani..unawavizia wavuviNdio kaka nina miezi miwili hapa Mjini.
Nielekeze machaka ya Samaki Sangara
Ni mkopo wa miaka mingap azania wenye io Riba kakaTena azania riba yao ipo chini . Crdb 17 , azania 15
Baba kaniambia nisikae kizembe nianze kuuza samaki kwa kuwasafirisha kwenda Dodoma au DsmHahahaa achana na samaki ww enjoy maisha kwanza. Kula restaurant mwaka mzima ndio uanze kufikiria kujipikirisha.
Ngoja niwatembelee wadau wa maeneo hayo.Sangara ni nyakato pale, lakn pia baruti kuna sehem kwa chini ziwani..unawavizia wavuvi
Bado mkuu.Vipi umesoma huko au? Nataka nikambetie ivory coast
Ukiwa na kazi washauri wengi sana. We jipe mwaka mmoja wa kuupa pole mwili.Baba kaniambia nisikae kizembe nianze kuuza samaki kwa kuwasafirisha kwenda Dodoma au Dsm
Azania na PBZ ndio unyama. Exim wana miezi 240 ila sijui riba yao.Ni mkopo wa miaka mingap azania wenye io Riba kaka
Hii ngoma kusoma mpaka j3 nadhani.Bado mkuu.
Ivory Coast watacheza kinyonge sana baadaeHii ngoma kusoma mpaka j3 nadhani.
Miaka unayotaka tu weweNi mkopo wa miaka mingap azania wenye io Riba kaka