Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Maslahi yanaendana na vipaumbele pamoja na uwezo wa serikali kuwalipa watumishi wake.

Utoaji wao wa huduma ukiwa tija,maslahi yataongezeka. Ila wakiendeleza business as usual hakutakuwa na mabadiliko yoyote.
Huduma iendane sambamba na maslahi ya watoa huduma. mtumishi huyu anayelia njaa unadhani huko kazini alipo anaweza kutoa huduma Bora inayostahili bila kuboreshewa maslahi yake?
 
Tarehe huwa ni 22/23, hizi zingine ni haraka zetu tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…