Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

kuna wakati nilikuwa nalipwa mshahara wa laki 6. kwa wakati huo nilijichanga nikafanikiwa kununua kiwanja changu cha kuanzia maisha.

kijana wangu wa Ofisi ya Hazina kaniambia tutulize boli. mzigo utaingia tarehe 23
Unaweza kuwa umeongea na mfanya usafi wa hazina
 
  • kwa hiyo unataka kubisha?
  • unafikiri mishahara na posho kwenye utumishi wa umma vinafanana?
  • kuna taasisi officer Jr salary scale ni hiyo 2.9m.
  • Tafuta exposure, kuna taasisi wanalipa extraduty 1.8m per month
Hizi ni stori za vijiweni bana.

Mishahara ya serikali haizidi milioni 3 kwenye mfumo rasmi, ukiacha na watu wachache sana wanaopata mishahara binafsi.

Hata Mbunge hazidi milioni 5.

Kinacholeta tofauti ni POSHO na ALLOWANCE
 
Hizi ni stori za vijiweni bana.

Mishahara ya serikali haizidi milioni 3 kwenye mfumo rasmi, ukiacha na watu wachache sana wanaopata mishahara binafsi.

Hata Mbunge hazidi milioni 5.

Kinacholeta tofauti ni POSHO na ALLOWANCE
Mkuu inazidi. Mi napokea 2.85 na ni mtu mdogo kicheo. Kwenye ofisi yetu Kuna wakubwa zangu kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…