Utajiwe ili iweje..Yani mtu secretary alipwe 3m eti kisa taasisi, na taasisi zenyewe hawazitaj wanatuona sisi sijui wapumbavu
Taasisi wanazolipa vizur zote tunazijua na tunajua wanalipaje pia
Mkuu na wewe umeajiriwa?Ukitoka unatakiwa uishe wote leo, tukutane wapi kwenye viti virefu?
Lack of exposure is his number one enemy.Jamaa anabisha kizembe sana na nikwasababu hajakutana na watu labda.
Ninae mazaa ni secretary NSSF mshahara wake akikuonyesha unaweza zimia na elimu yake ni Diploma tena kaipata mwaka juzi so hiyo scale alikuwa nayo ya Elimu ya cheti tu...
Imagine alichukua mkopo 200M na akikatwa bado anapata 2M+
Mshahara wa ofisa wa latra anayeanza kazi ni 2.7m+Bas wadanganyeni wajinga wezenu
Stori yako imekaa kichaichai, halaf usichokjua kuna walimu wanalipwa 3m+ hapa kuna mambo mengi yanachangiaNakuonea huruma sana mkuu.
Endelea kuamini hivyo, ila ukijua moja watu wanajua 10...
Shida mitaani tumezungukwa na watumishi wengi wa TAMISEMI ndio maana unaona hizi stori za kusadikika.
Wapi nimesema ndio kaanza kazi??Stori yako imekaa kichaichai, halaf usichokjua kuna walimu wanalipwa 3m+ hapa kuna mambo mengi yanachangia
Lakn stor yako imekaa kuchangamsha genge yan mtu ndo aanze kaz alipwe mshahara wa kukopa 200m na awe anabak na 2m+ et kisa yupo nssf
Huku si wangejaa watoto wa mbogamboga tupu
Achen uongo wa kijinga
Wewe jamaa kweli umevurugwa.Stori yako imekaa kichaichai, halaf usichokjua kuna walimu wanalipwa 3m+ hapa kuna mambo mengi yanachangia
Lakn stor yako imekaa kuchangamsha genge yan mtu ndo aanze kaz alipwe mshahara wa kukopa 200m na awe anabak na 2m+ et kisa yupo nssf
Huku si wangejaa watoto wa mbogamboga tupu
Achen uongo wa kijinga
Hapa tunaongelea wanaoanza kazWapi nimesema ndio kaanza kazi??
Umeshinda mkuu..🎗🥇🥉Hapa tunaongelea wanaoanza kaz
Daktari(MD) wa taasisi anaanza na PMGSS 8.1 ni 2.1 M,Daktari mwenye masters ya miaka minne aliyepo kwenye taasisi hawez kupokea 2.5 M inazidi atakuwa kwenye pmgss 11 hivSina hakika.
Ninao jamaa zangu wanafanya kazi MOI, huwa naona mishahara yao ina ongezeko kama la Laki 2 tu mbele.
Labda Posho.
Hakuna siri ww kiaz kila taasisi inajulikana inalipaje salary scale hata CHATGTP zipo za kila taasisiUtajiwe ili iweje..
Muanze kuropoka hovyo kwamba watu fulani wanalipwa zaidi ya unacholipwa.
Nimesema lecturer PhD holder ndo anaanza na 3m+ labda kama unaugonjwa wa kupoteza kumbukumbuWewe jamaa kweli umevurugwa.
Mwanzo ulikata kwamba hakuna wanaolipwa m 3 + . Sasa unaanza kuingia kwenye mfumo taratibu
Nakula fao langu la kustaafu mkuuMkuu na wewe umeajiriwa?
Mkuu mimi nakuamini, hata hizi taasisi ambazo watu wanadai zina njaa, njaa ipo kwa watu wa chini. Hiyo communication allowance ambayo mdogo wako anapokea laki moja kuna watu wanapokea 1m 😬😬😬 utajua hujui
- kwa hiyo unataka kubisha?
- unafikiri mishahara na posho kwenye utumishi wa umma vinafanana?
- kuna taasisi officer Jr salary scale ni hiyo 2.9m.
- Tafuta exposure, kuna taasisi wanalipa extraduty 1.8m per month
Mbona inafahamika, kuna Taasisi ambazo zinatumia mapato yanayokusanywa kujipangia viwango vya mishahara tofauti hasa kupitia Bodi za wakurugenzi wao.Nakuonea huruma sana mkuu.
Endelea kuamini hivyo, ila ukijua moja watu wanajua 10...
Shida mitaani tumezungukwa na watumishi wengi wa TAMISEMI ndio maana unaona hizi stori za kusadikika.
Sawa mkuuNakula fao langu la kustaafu mkuu
Vipi, salio limetoka?Sawa mkuu
Inakuwaje Daktari wa taasisi apokee 2.1M, halafu Diploma apokee laki 9?Daktari(MD) wa taasisi anaanza na PMGSS 8.1 ni 2.1 M,Daktari mwenye masters ya miaka minne aliyepo kwenye taasisi hawez kupokea 2.5 M inazidi atakuwa kwenye pmgss 11 hiv
Sijui mkuu, mimi nipo hapa na bakuli langu nasubiria mpateVipi, salio limetoka?