Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Ndio mkikaa hapo kijiweni mnaambiana hivyo
 
Aisee
 
Mimi naingia humj nategema nisikie Mzigo tayari nisogee Kwa shayo humu mnabishana tu Taasisi ipi inalipa vizuri sijui na Posho za nini


Kuna jamaa humu umetaja Posho Ya Mawasiliano ndii Take home yangu nimeumia sana basi tu
Mkuu saa sita usiku mzigo utakua on!
 
Tatizo ni level za matumizi watu wengi wanaishi maisha ya vipato vyao
 
Mimi naingia humj nategema nisikie Mzigo tayari nisogee Kwa shayo humu mnabishana tu Taasisi ipi inalipa vizuri sijui na Posho za nini


Kuna jamaa humu umetaja Posho Ya Mawasiliano ndii Take home yangu nimeumia sana basi tu
Ngoja pesa iingie nitaku update. Mi haya mabishano siyawezi.
 
Bakabaka mwenye degree na tamisemi mwenye degree wako sawa kwa salary?
Hawalipi degree, wanalipa taaluma pesa kidogo sana.

Degree inakusaidia kwenda kozi.

Mfano, degree kama afya yako inaruhusu unaweza kwenda kusoma nyota moja. Hiyo nyota moja ndio ina mshahara.

Mfano, kuna jamaa yangu alikuwa analipwa laki 5 tu, baadaye akaenda kikozi cha MP, ikaongezeka 35,000 tu ya hicho kikozi.
 
Mwanangu hizo sacale unataja sijui za Zimamoto huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…