Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Hatimaye nimefikiwa! Niwatakie weekend njema wawekezaji wenzangu VIA tamisemi πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Pesa inabidi iingie leo. Mtaani kila mtu ananidai. Mwenye nyumba, mangi, sungusungu, wabeba taka, saluni, bodaboda, bucha, gengeni, wakala, muuza gesi, hadi mchepuko.
Sasa mdogo wangu hapo ikiingia tu si ishaisha!
 
CRDB tayari,ndugu zangu wa faida tukutane 23 Julai
Nawakubali ndugu zanguni wa shida na rahaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Usituage kienyeji enyeji, ebu tutumie buku buku sisi tuliobaki kwenye jf pesa
 
Mbona kimya humu au mmeshalamba asali mtupe kampani na sisi tuliosahaulika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…