Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Usisahau mdudu kavu/choma na kachumbari yenye pilipili! Wakati inatengenezwa unaendelea na Serengeti lite (safari lager ni kuanzia tarehe 5). Ukigonga unashushia tena Serengeti mbili. Unafunga na ya watoto! Ni burudani hebu tuwe unalipwa kwa wikiHabari zenu watumishi wa umma.
Muda kuacha kula mboga mboga na makabichi umewadia yamebaki masaa. Ni mwendo wa king fish π maini firigisi.
Usisahau mdudu kavu/choma na kachumbari yenye pilipili! Wakati inatengenezwa unaendelea na Serengeti lite (safari lager ni kuanzia tarehe 5). Ukigonga unashushia tena Serengeti mbili. Unafunga na ya watoto! Ni burudani hebu tuwe unalipwa kwa wiki
Acha hizoo mshahara haukutani ndio ila amelipa kodi, amelipa ada, amenunua mahitaji binafsi na familia, jobless anaweza kufanya hayo?Kuna watu mnafanya kazi tu ili msionekane majobless ila kiuhalisia nyinyi mpo kapu Moja yaan majobless promax.
kama mshahara wako hauwezi kukutana na mshahara wa next month huna tofauti na jobless.
BadooMakato yameshapita lakini wakuu..?
Kama bado basi hii ngoma ni keshokutwa...Badoo
Watatuua aseeNAtabiri tu hii ngoma mnapokea trh 24
Muda sio mrefuu vitu vitasoma,,,,,,
Usisahau mdudu kavu/choma na kachumbari yenye pilipili! Wakati inatengenezwa unaendelea na Serengeti lite (safari lager ni kuanzia tarehe 5). Ukigonga unashushia tena Serengeti mbili. Unafunga na ya watoto! Ni burudani hebu tuwe unalipwa kwa wiki
Uzi unakua active tarehe hizi kila mweziHuu uzi huwa unachekesha sana
Ngoja nikamvizie zainabu mtoto wa mwenye nyumba, anaweza ata kunifichia sahani ya wali maharage, hapa nilipo mifuko yote imetoboka.
HahahaAnaeijua shortcut ya Mwenge kwenda Kimara