Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Gari linakusaidia kukupa heshima mjini, hata ukienda mahali kupata huduma ukiwa na gari lako kama Prado TXL au Ford au Land Cruiser 300 watu wanakupa huduma ya kipekee kuliko ukifika hapo unavuja majasho, Viatu vimejaa mavumbi.
Kumbe sukuma wiki tamu hivi, nimenunua fungu la 500 limenitosha kabisa; shida ni kipimo cha maarifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…