Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

January had anti kazi siku hizi; Hana mshahara bali anakula mafao tu
 
Ndiyo shida ya kutegemea salary kwa 100% ,jitahidini muwe na another source of income ,ona hata tarehe 30 haijafikia mshaanza kupiga MAYOWE.

Inasikitisha sana ,sasa mtu kama huyu ukimkabidhi ofisi ya umma si atakuwa MLA RUSHWA tu?
Unajua maana ya siku 30 za mwezi zimeanza kuhesanika lini?

Unajua last month wamelipwa lini?

Wewe ni mtumishi wa serikali kwenye biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…