King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,227
- 98,761
Sasa mbona umeanza tena matusi? Najua ni njaa tu ya kukosa mshahara ,tafuta other source wewe MBWEHA ili usiwe na hasira ,ngoma mpaka jumatatu hiyo! Mambegesi.Wakae kimya Wasubirie tarehe 27 wakati wanastahili kupewa sasa hivi.. We unawapangia kama nani peleka usenge wako huko.
We jamaa matako yako!! Acha kuwaonea walimu pumbavu we, kuna siku nitakutia makofi lofa weh.DM yangu imejaa wanasema niwakopeshe
FANYENI YENU WAKUU KILA MTU NA MITIKASI YAKE KWANI TUKIDAI MISHAHARA MBONA MAPOVU NYIE SI NDO MNAKUJAGA MAKAZINI KWETU TUWAHUDUMIE MBONA SISI HATUSEMI KWANINI IMEKUWQ NONGWA SISI KUDAI SALARYHivi haya ni maisha gani mazei😃😃 tarehe ya mshahara huu uzi unapata subs wengi ssna
23/June/2026 saa 16:20Mwezi uliopita mlipewa tarehe ngaapi
Hii ya "Fungu" ikoje ...Aulizwe fungu lake kwanza
TEMESA kuna pesa sana zaidi ya ujuavyo. Pesa za TEMESA TBA na TANROADS ni za upepo. Ukikaa kwenye mfumo hata uambiwe wakupeleke BOT huwezi kukubali huo upumbavu.Nilivyoona TEMESA nimecheka sana
Kijana bado una safari ndefu kama unapiga picha hela uliyouza kiwanja
Mi nimekuelewa sana tu Mkuu. 🤝Samahani kwa kutumia lugha ngumu ,ukitumia lugha ngumu yenye ukweli na inayokera huwa inaeleweka na kukaa akilini vizuri.
Mwananchi mwenzangu hata mimi nilipitia hiyo hali ya kutegemea salary ila nikajiongeza kupata kipato nje ya mshahara ikanisaidia sana ,sasa hawa WEHU ukiwaambia kwamba watafute other source wanaanza kuleta MATUSI.
ESS ni miaka 3Naomba niulize kitu Mimi Niko taasisi ya elimu ya juu hapa dar es salaam na Nina mwaka JE kama nataka kuhama kwenda sehemu kama. Tbs au tmda JE naweza kuruhusiwa au ndo ntaambiwa hadi miaka mitatu
Unajuaje hayo makato, mbona salary slip hazitoki??Naona wale wa mikopo makato yameshawapitia.
Ndiyo mlisema kituo kinachofuata baada ya makato ya mikopo ni NMB sio?
Kuna baadhi ya Wizara na Taasisi hazijaingia bado kwenye ESS mimi nilipo wanatumia paper work katibu akipitisha imeisha hiyoESS ni miaka 3
Zaidi ya hapo CONNECTION.
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Angalia kwenye ESS KAMA UMEKOPA SEHEMU YA BALQNCE YA MKOPO WAKO UTAONA HELA IMEPUNGUA ILA MPAKA UWE UMEKOPAUnajuaje hayo makato, mbona salary slip hazitoki??
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Hakuna ukali haina haja ya kuchekea ******* wanatudhiaki thread ziko nyingi sana sasa wao wanakujaje kutukejeli ilahali tukiwa tunatoa huduma wanakuwa wasumbufu sana wao inawauma nini sisi kuulizana mshaharaNdo kusema Watumishi tukikosa Mshahara tunakuwa wakali hivyo. Lol.
#Mnisamehe jamani msinitukane.
Nimegoma kwenda TAMESA, Kuna Taasisi naitaka pale Dodoma.TEMESA kuna pesa sana zaidi ya ujuavyo. Pesa za TEMESA TBA na TANROADS ni za upepo. Ukikaa kwenye mfumo hata uambiwe wakupeleke BOT huwezi kukubali huo upumbavu.
Hizo taasisi ni za uza nunua. Pesa tu inaongea mda wote.
Ila ukiwekwa nje ya mfumo lazima upagawe