Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Dunia hatufanani.

Shangazj yangu kaanza ajira akiwa na miaka 19 amestafuu na miaka 60

1. Hajawahi kwenda kusoma
2. Hajawahi fanya biashara YOYOTEE

Kifupi katulea kwa kutegemea mshahara tu na TUMEKUWA..

Usikariri.

Sio kila mtu afanye "Side Hustle"

Wasiopenda kusoma hata hapo kazini kwako WAPO.
Wanaotegemea mshahara tu hata hapo Kazini kwako WAPO.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimegoma kwenda TAMESA, Kuna Taasisi naitaka pale Dodoma.
Ndio napambana, NIOMBEEE.

Ombi la uhamisho lipo Utumishi

#YNWA
#YANGA_BINGWA
TEMESA kutamu kama wewe ni mtu wa manunuzi, Uhasibu na ukiwa fundi mkuu au meneja.
Kuingiza 1m. kwa siku kawaida tu.
TPA sasa hivi kwenye issues za madili waaarabu wamepiga pin ila mshahara na posho sio haba
 
Aiseee umeongea jambo zuri sana ,nina imani wananzengo wa kusubiria tarehe kama wakikuelewa watafaidika sana ,ukweli mishahara yetu hii ambao tupo position za kawaida ni ngumu sana kutuboa ,the only solution ni kutafuta other source ya income.

Hii mishahara ukiingia tu karibia 60% unalipa madeni ,iliyobaki 40% hautoboi hata siku 10 mbele bila alternative unaumbuka.
 
Hakuna ukali haina haja ya kuchekea ******* wanatudhiaki thread ziko nyingi sana sasa wao wanakujaje kutukejeli ilahali tukiwa tunatoa huduma wanakuwa wasumbufu sana wao inawauma nini sisi kuulizana mshahara
Ok! Mkuu haina shida. 🤝

Bila shaka tunatofautiana namna na upokeaji wa mambo lakini kwangu huwa sioni kama shida mtu anapotowa mawazo yake sababu Ki jf jf sisi ni anonymous nikimaanisha mtu anaweza akajiweka vyovyote vile anavyotaka.

Sasa ukiwa mtu wa kupanic unaweza jiumiza bure.
 
Sidhani kama umenielewa Mkuu.

All in all kila mtu afanye na achukue anachokiona ni sahihi kwake. Bye.
 
Kabla hujatafuta maisha kwanza define kwako, KUTOBOA NI NINI, halafu tafuta huko kutoboa.

NB:-
Kila mtu ana definition yake ya kutoboa.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Una akili ndogo sana.

Kaa mbali na mimi.
 
Mkuu tutakupigga.

Yaani hatuna kitu halafu unatuonyesha njuruku hizo. Lol🤣🤣
Mtani kuna mstari mmoja wa profesa jay kwenye wimbo wake wa tathmini anasema

"Ninaowahudhi hii naifanya makusudi ,kuwatia gadhabu ili waongeze juhudi"

Efm wanasema huu mchezo hauhitaji hasira unaweza ukapandisha sukari na presha bure.
 
Kua mtu anayelipwa milioni 2 mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?
 
Uzi UMESHAINGILIWA NA ******* WAO WAKIJA KWENYE TAASISI ZETU ZA UMMA WANATAKA TUWAHUDUMIE VIZURI TUKIULIZANA HELA ZETU IMEKUWA NONGWA.

NYIE ******* ACHENI SHOBO KAMA TUMEAMUA KUFA KWA MTUMISHI WA UMMA MTUACHE MATAKO YENU
Hakukuwa na haja hata ya kutukana, hayo matusi ni dalili kuwa pesa huna, na huna chanzo kingine cha pesa.
 
Ndo kusema Watumishi tukikosa Mshahara tunakuwa wakali hivyo. Lol.

Siku zote ushauri huwa unapokelewa halafu kufanyiwa au kutofanyiwa kazi ni maamuzi ya wewe mpokeaji.

#Mnisamehe jamani msinitukane.
Acha shobo na kujifanya mjuaji Kila mtu ashinde mechi zake
Kua mtu anayelipwa milioni 2 take home kama ni mshahara hautoshi,ila anayelipwa mshahara take home milioni 1 na side hustle zake zote kwa mwezi anapata laki 6,jumla 1.6M yeye anatosheka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…