Associate Professa
JF-Expert Member
- Jan 8, 2026
- 561
- 811
Na Kwa sasa Mrembo Niko naye, tuko EPLAS MAPINGA tunapata dinner na bia za kutosha then tuingie hotel nile MzigoNyie ndio wale wanaume wapumbavu washamba wa mapenzi, yaani unatumia 200k kupata utelezi ambao wenzako wanamla huyo demu kwa chips kavu na soda na wengine wanamla bure na nauli anajilipia.
Wewe bado mtoto utakuwa umebalehe juzi.
Kwa hio mshahara wa milioni 1 hautoshi ila faida ya biashara ya laki 4 inatosha?Elewa kwamba mshahara hautoshi - Hata ukilipwa milioni 10 kama salary tambua hautoshi....namaanisha ni kwamba utaishi kimilioni 10 na ukipewa 2m utaishia kimilioni 2 ,kadri kipato kinavyoongezeka na matumizi yanaongezeka pia ,uzuri wa side hustle ni kwamba unapambana kuongeza palipopungua! Hivi ukiwa na Kibodaboda chako unaokota kwa wiki 60 ,una kijigenge/duka chako unaokotoa perday 10 hivi utalia njaa kweli?
We huna pesa unamsubiria laki8 lazima laki2 uione kubwaNa ndo kwenye jamii zetu wanawake huwa wanajiona brand sana kwa sababu wana- interact na sampuli za namna hii
Kwa hio mshahara wa milioni 1 hautoshi ila faida ya biashara ya laki 4 inatoshaElewa kwamba mshahara hautoshi - Hata ukilipwa milioni 10 kama salary tambua hautoshi....namaanisha ni kwamba utaishi kimilioni 10 na ukipewa 2m utaishia kimilioni 2 ,kadri kipato kinavyoongezeka na matumizi yanaongezeka pia ,uzuri wa side hustle ni kwamba unapambana kuongeza palipopungua! Hivi ukiwa na Kibodaboda chako unaokota kwa wiki 60 ,una kijigenge/duka chako unaokotoa perday 10 hivi utalia njaa kweli?
Unajua nini Man nilipaswa nilipe last month nimatoa udhuru sasa naona Manjegeka tuMwambie kuna mchongo unausikilizia
Mpigishe stori za simba na yangaUnajua nini Man nilipaswa nilipe last month nimatoa udhuru sasa naona Manjegeka tu
Mshahara ni konstanti labda kama una Over Time ,Ukiwa na kipato cha nje chochote tofauti na mshahara hata ikiwa elfu 50 ni nyingi ,hapa kinachonzungumziwa ni other source of income na ndiyo maana nikatolea mfano una kibodaboda ambacho kinaleta elfu 60 kwa wiki na ukawa na kiduka genge ambacho napo unaokota 10 perday kweli utalalamika kukosa nauli ya kwenda kazini au mshahara umechelewa?Kwa hio mshahara wa milioni 1 hautoshi ila faida ya biashara ya laki 4 inatosha?
1.Mwenye mshahara wa laki 4 na others source za income 8 zinazoingiza faida ya laki 6,anamzidi mtu mwenye mshahara wa milioni 1 na laki 2 take home?Mshahara ni konstanti labda kama una Over Time ,Ukiwa na kipato cha nje chochote tofauti na mshahara hata ikiwa elfu 50 ni nyingi ,hapa kinachonzungumziwa ni other source of income na ndiyo maana nikatolea mfano una kibodaboda ambacho kinaleta elfu 60 kwa wiki na ukawa na kiduka genge ambacho napo unaokota 10 perday kweli utalalamika kukosa nauli ya kwenda kazini au mshahara umechelewa?
Mbona una kiwango kidogo sana kupata mshiko fasta ?
300k sio ndogo aiseMbona una kiwango kidogo sana kupata mshiko fasta ?
Yangu nimetumiwa jana hiyo hapo chini300k sio ndogo aise
Maswali yako nilishajibu hapo juu.1.Mwenye mshahara wa laki 4 na others source za income 8 zinazoingiza faida ya laki 6,anamzidi mtu mwenye mshahara wa milioni 1 na laki 2 take home?
2.Kua serikalini mshahara ni constant hauongezeki?
3.kua serikalini hamna overtime,or others sources of income?
Maza house Mkuu tena Mhasibu wa Kanisa Mwalimu mstaafu si bora story za Maombi labda sijui mikeshaMpigishe stori za simba na yanga
1.Kua Kila mtu anaweza kufanya biashara na biashara yake ikakua?Maswali yako nilishajibu hapo juu.
Kuwa na kipato tofauti na mshahara ni bora hata kama ni elfu 50 tofauti na kutokuwa nacho kabisa.
Assume huyo mwenye mshahara wa laki 4 kama asingekuwa na hizo source 8 ambazo zinamuingizia laki 6 angeishi vipi?
Hapa logic tunayozungumzia kulia lia mshahara umechelewa ,kama unapata 1.2m na inafika hadi mwihso wa mwezi mwingine na kukutana na mshahara mwingine hapo ni safi ,na watu kama hao hauwezi kukuta analilia mshahara umechelewa.
Wanaolilia maana yake mshahara umekwisha halafu hana source nyingine ya kupata kipato mpaka mshahara uingie ,hapo lazima alielie kwamba mshahara umechelewa ,kuna watu hata mshahara haangalii yeye anapiga kazi tu ,mshahara unaweza kuingia tarehe 23 yeye akaenda kutoa pesa tarehe 31 maana bado ndani ana petty cash ya kumsukuma.
Serikali wanadai wamekwisha lipa...makato si tayar, hapo ni ww na bank yakoSerikali inaringa kichizi
Inategemea na jinsi account inavyo trasact. Mtu mwenye laki tatu halali njaaYangu nimetumiwa jana hiyo hapo chini
Kiwango chako cha Mshiko Fasta ni TZS 917200. Chukua mkopo muda wowote, na kamilisha miamala ukiwa hauna salio. Vigezo na masharti kuzingatiwa.