Mvinyo mpya
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 3,816
- 9,308
Kumbe? wanaweza kuwa low kiasi hicho!ni uhuni mimi nimefanya kazi benki, hiyo ni michezo ili wapate deposit ya siku moja ambayo ni faida kwa benki. Wahuni hao wanaachilia mshahara usiku ili usiutoe leo uutoe kesho
Lakini wanahisa wanataka kuona faida. Kwa perspective ya wanahisa huwezi sema kaharibu bank na faida imekua zaidi mara tatu ya wakati wa kimeiLinapewa sifa , ila ukweli limeharibu hii Bank
Mhhh mbna Sioni messageCrdb teyari washaweka mzigo
Wapi apoCrdb teyari washaweka mzigo
Sijaona bado mastaCrdb teyari washaweka mzigo
CRDB Wamekuwa wahuni sana.ni uhuni mimi nimefanya kazi benki, hiyo ni michezo ili wapate deposit ya siku moja ambayo ni faida kwa benki. Wahuni hao wanaachilia mshahara usiku ili usiutoe leo uutoe kesho
Unapata faida Gani kudanganya au utatafuta attention ya watuCrdb teyari washaweka mzigo
Upo kimya nikajua ushalamba asaliMazee Mazee
Sikua na vocha kabisa man. Tunaishi kama movieUpo kimya nikajua ushalamba asali
Uhakika??CRDB nao wameweka...mimi nimepata
Mzee wa crdb Leo tumekula za uso!Mazee Mazee
Uhakika wameweka Sasa kwanini niongope mzeeUnapata faida Gani kudanganya au utatafuta attention ya watu
Crdb auUhak
Uhakika wameweka Sasa kwanini niongope mzee
Achana nae anazinguaCrdb au
Inawezekana mzee. Kuna huyo jamaa hapo No SQL hazinguagi. Tusubiri fungu letu na sisiAchana nae anazingua