Ndio malipo wa kukaa na pesa yao miaka 12.Halafu unalipa 40+M
Mtu asikope mkopo wa kuzidi miaka 3 kama haendi kuwekeza kwenye inshu anayoijua vizuri, atachukia kazi.
Wewe unafanya nini kwenye huu uzi.maisha ya paychek to paycheck yanatia matumaini kwamba angalau kupitia D 2 zako kuna watu wameona unastahili kulipwa chochote kitu hata kama ni kiduchu ila kinasaidia kusogeza siku kadhaa mbele.
Nafuatilia updates za mshahara, kuna mtu namdai elfu 7. Huu mwezi wa 6 sasa , haoneshi dalili za kulipa.Wewe unafanya nini kwenye huu uzi.
Matajiri wenzio wako imstagram wanapiga uwinga.
Usiende mkuu. Mi leo sijaendaKesho kuna kila dalili kabisaa ya kutembea kwa miguu mpaka job. Saivi ni mwendo wa dagaa na tembele tu.
HII NGOMA NI j3 mapema sana kuanzia saa6 tunaanza kukiri humuJumamosi tu hapo kila mtu anafurahi
Imenibidi nitembee tu, ila nimewaambia kesho sitokei mpaka kitu kisome.Usiende mkuu. Mi leo sijaenda
Kwahio hi weekend nishindie tena sukuma wiki aisee sio haki kabisaa.HII NGOMA NI j3 mapema sana kuanzia saa6 tunaanza kukiri humu
Mmh badoKwani makato vipi huko
Tuwe wapole leo au keshoMmh bado
Mzgo unaweza kutoka j3 trh 24....bado kama siku 4 tuTuwe wapole leo au kesho
Yeah nilikua nazungumzia upande wa makatoMzgo unaweza kutoka j3 trh 24....bado kama siku 4 tu
Hebu kuwa serious mkali, nimejilaza ndani hapa kimyaa maana huko nje hakutokeki ukiwa huna hata mia.CRDB TAYARI
Bado masta. Aisee hali mbaya sanaHebu kuwa serious mkali, nimejilaza ndani hapa kimyaa maana huko nje hakutokeki ukiwa huna hata mia.
Kwenda kazini kesho ni uzembe mkubwa sanaHali si shwari kabisaaa, nauli ya kwenda kazini kesho sina na hapa yenyewe leo tunalalia ugali na mchicha pori chukuchuku.
Acha masiharaMzgo unaweza kutoka j3 trh 24....bado kama siku 4 tu