Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa πOya wakuu vipi jamani huko? Hizi dalili sio nzuri, watakuja kutulombea mabebez wetu.
Serikali haitambui kuwa Maulid itakuwa jumanne? Tunatakiwa kuanza maandalizi mapema.Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa π
Huenda Maulid ikawaponyaSerikali haitambui kuwa Maulid itakuwa jumanne? Tunatakiwa kuanza maandalizi mapema.
π eti huenda ikawaponya. Swala la kula maharage Maulid hapana.Huenda Maulid ikawaponya
Jumatatu muandae mazishi. Nitakufa njaa.Ngoma jumatatu hii mkuu kama sio jumanne kabisa π
Maulid lini?Huenda Maulid ikawaponya
Sasa shopping lini? Pesa waweke leo bwana.Jtatu maulid inaweza kuwa public holiday so salary either jumamosi haswaaa
Tulia kijanaSasa shopping lini? Pesa waweke leo bwana.
ππMpaka muda huu bila bila, dalili hazionekani kabisaa. Kuna kila dalili leo kushindia uji na chumvi.
Maharage na ngogwe havijawahi kuua mtu πJumatatu muandae mazishi. Nitakufa njaa.
MondayMaulid lini?
π π π π π wasDUBULIHASA naona ulipewa posho mlima 8/8 kiasi hata ukumbuki tarehe zimefika.
Waweke pesa leo bwanaTulia kijana
Kila kitu kimeisha, hadi chumvi..Maharage na ngogwe havijawahi kuua mtu π
ππ huu uzi kila nikiingia upo trendingKila kitu kimeisha, hadi chumvi..