Mshahara wa Januari vipi mbona unachelewa?

Kama uliacha, wewe kwenye Uzi wetu unatafuta Nini..? mbona una mambo ya kinafiki.
Au umekuja kujitangaza na kuturingishia kuwa umeacha kazi na maisha yanakwenda vizuri..
Mkuu watu wengine ni wapuuzi sana, hao ndo wanaokuja kutuchafulia huu uzi matokeo yake tunaanza kutoka nje ya mada na kutukanana hovyo, kama jambo halimhusu kwanini asipite kule aende zake....
hakuna anayehitaji ushauri nasaha za mtu hapa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…