Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

wakishinda biashara wakalime
Au kufuga hata kuku! Ila siyo kutegemea salary kwa 100%. Hii kitu huwa inaleta sana dharau mtaani. Maana ukikopa, ndiyo unakuja kuanzishiwa mada humu jukwaani.

Mimi nina rafiki yangu fulani hivi! Yeye na mke wake, wote ni watumishi wa umma. Cha kushangaza mara kadhaa jamaa na mke wake wanashindwa kutoboa mwezi. Kisa tu wanaishi kwa kutegemea mshahara kwa 100%.
 
na mara nyingi mshahara huwa haukutani na mshahara mwingine
 
Kuwa makini, sikuhizi wadaiwa hawalipi na ukiwasumbua sana wanakuroga.
 
Back
Top Bottom