Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

Au kufuga hata kuku! Ila siyo kutegemea salary kwa 100%. Hii kitu huwa inaleta sana dharau mtaani. Maana ukikopa, ndiyo unakuja kuanzishiwa mada humu jukwaani.

Mimi nina rafiki yangu fulani hivi! Yeye na mke wake, wote ni watumishi wa umma. Cha kushangaza mara kadhaa jamaa na mke wake wanashindwa kutoboa mwezi. Kisa tu wanaishi kwa kutegemea mshahara kwa 100%.

kweli na ukweli mtupu
 
Back
Top Bottom