RingaRinga
JF-Expert Member
- Jul 10, 2015
- 1,047
- 521
Nmb?Tangu jana
wakishinda biashara wakalimeIfikie wakati watumishi wa umma na hasa wale wa ngazi za chini, mkubali kubadilika. Anzisheni biashara/shughuli za kuwaingizia kipato nje ya mshahara. Kuishi kwa kutegemea mshahara kwa 100% ni hatari.
Au kufuga hata kuku! Ila siyo kutegemea salary kwa 100%. Hii kitu huwa inaleta sana dharau mtaani. Maana ukikopa, ndiyo unakuja kuanzishiwa mada humu jukwaani.wakishinda biashara wakalime
Nmb?
Au kufuga hata kuku! Ila siyo kutegemea salary kwa 100%. Hii kitu huwa inaleta sana dharau mtaani. Maana ukikopa, ndiyo unakuja kuanzishiwa mada humu jukwaani.
Mimi nina rafiki yangu fulani hivi! Yeye na mke wake, wote ni watumishi wa umma. Cha kushangaza mara kadhaa jamaa na mke wake wanashindwa kutoboa mwezi. Kisa tu wanaishi kwa kutegemea mshahara kwa 100%.
Ukiwa mlevi wa hii kituTushamaliza mpk Salary advance
Ifikie wakati watumishi wa umma na hasa wale wa ngazi za chini, mkubali kubadilika. Anzisheni biashara/shughuli za kuwaingizia kipato nje ya mshahara. Kuishi kwa kutegemea mshahara kwa 100% ni hatari.
Mimi bado sijapata mkuuKuna amabaye hajapa salary hadi muda huu?
NMB?Mimi bado sijapata mkuu