Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
Habari wakuu,
Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanalipwa milioni 11 wote...Habari wakuu,
Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Kila mmoja? Hapana haiwezekani!Wanalipwa milioni 11 wote...
Kwa hiyo Okwa, Sakho na Okrah wanachukua parefu kuliko Mzamiru.Kibu analipwa milioni 3.5 na Yassin milioni 3.0
Kibu analamba laki tisaKibu analipwa milioni 3.5 na Yassin milioni 3.0
Kibu analamba laki tisa
not fair at all,Kibu Dennis earns an average 2.5 ml per month subject to tax as per Tanzania regulations.
Either Mzamiru a golden generation from Morogoro is to pocket around 1.5ml in the new contract with Simba sc.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]khaaaaahKibu analamba laki tisa
Habari wakuu,
Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Kibu analipwa kwa wiki, mshahara wake ni milioni sita kwa wiki
usagihi ndio nini?Habari wakuu,
Kama kuna mwenye usagihi wa mishahara ya Kibu na Muzzamiru aniwekee hapa jamvini...
Je ni HAKI hii ??Kibu Dennis earns an average 2.5 ml per month subject to tax as per Tanzania regulations.
Either Mzamiru a golden generation from Morogoro is to pocket around 1.5ml in the new contract with Simba sc.