Mshahara wa Kibu Dennis Vs Muzzamiru Yassin

Mshahara wa Kibu Dennis Vs Muzzamiru Yassin

😂😂😂 kibu ikibidi alipwe ata box 2 na nusu ina mtosha. Alafu kyombo achukue ata mia 2 na nusu pia sio mbaya
 
I wish angetokea mfukunyuzi, ili tuifahamu pia mishahara ya wachezaji wa simba.

Maana uchungu walio uonesha mashabiki wa simba kuhusu wachezaji wa ndani wa Yanga juu ya mishahara yao midogo dhidi ya wageni, hakika unafikirisha sana.
Uchungu ulionyeshwa na sisi wanasimba ni kwa wachezaji wote wazawa wenye viwango bora hivyo huwezi tegemea nionyeshe uchungu kwa Kibu D au Kapama ila kwa Zimbwe,Kapombe na Manula lazima niguswe nikiona hawapati mshahara mzuri maana wote tunajua kazi yao na bahati nzuri wote hao niliowataja hapo wanachukua mishahara mizuri tu karibia mara mbili ya anaochukua Feisal akiwa Yanga hapo
 
Kibu D anakula 142,000 kama kila cha chini cha mfanyakazi wa mashambani na Mzamiru yeye anakula 150,000 kwa mwezi. Nafahamiana nao na walishawahi naonyesha mikataba yao.
 
Kibu analipwa kwa wiki, mshahara wake ni milioni sita kwa wiki
Makolo watakuwa wanapigwa na chaunabe.kama ilivyopigwa serikali kumpa uraia hii taka ngumu
 
Yaani uraia tumempa kibu sisi tz tunajielewa kweli??

yaani tunaacha kuwalazimisha chama na mayelle wawe raia hapa tunaongeza mikosi kwa nchi..isee!
Tanzania sisi wa ovyo sana,kila siku aibu kama leo ndondi imetutia aibu sana
 
Kiuhalisia bila kujali wanalipwa kiasi gani, mishahara ya wazawa ni midogo ilhali mchango wao ni mkubwa. ifike pahali tuangalie hali zao, lakini pia tujifunze kwa wenzetu kwa kuwaboreshea
lakini pia wazawa watafute nchi za nje nao wakalipwe vizuri, mfano Messi analipwa vizuri kuliko wachezaji wazuri wazawa pale PSG
 
Back
Top Bottom