Mshahara wa laki sita (600,000) na ndoto ya utajiri

Mshahara wa laki sita (600,000) na ndoto ya utajiri

Vijana wanakopeshwa pesa nyingi wanakimbilia kununua magari na kuoa. Huoutajiri utakua unausikia kwa majirani zako
 
Vijana wengi hasa graduates huwaza kuwa wakipata kazi na kulipwa mshahara watakuwa matajiri. Ndugu kama una mawazo hayo yafute.Huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa na kulipwa shilingi laki sita (600,000) au kwa kutegemea mshahara pekee, inabidi ujiongeze na uwekeze kwenye biashara na miradi mbalimbali vinginevyo utabaki na ndoto ya utajiri mpaka uzeeni ukisubiri kiinua mgongo na pensheni. Shtuka kijana, wakati ndio huu.

NB;
Sijasema kuwa usiajiriwe hapana, pata ajira na tumia ajira yako kama Njia kukuwezesha kufikia ndoto ya utajiri.


asante Mkuu umeongea ya moyoni nahisi haya ni mapito yako ubarikiwe sana kutoa ushuhuda wako
 
Back
Top Bottom