Mshahara wa laki tatu Dar



Kweli mambo mengine ni kibali kutoka Kwa Mungu.

Kuna ndugu yangu alimaliza chuo 2021 Mwishoni Ila Leo hii hakamatiki alipata destiny helper wakaanza kufanya maisha ya Biashara na Kazi.
 
Kweli mambo mengine ni kibali kutoka Kwa Mungu.

Kuna ndugu yangu alimaliza chuo 2021 Mwishoni Ila Leo hii hakamatiki alipata destiny helper wakaanza kufanya maisha ya Biashara na Kazi.
Mzee mm nishakutana na Honorable, mzanzibar halisi kabisa. Nikajimaliza pale mpaka leo ninasubir ahadi... ila kuna mtu katokea katikati hapo kaka 😂

Dunia mbaya sana na chungu mana safari ya kusubiria nchi ya ahadi imekuwa ngum zaidi na inayokatisha tamaa kuliko ile ya kumsaka yeye.

So kwa sasa naona faida na uzuri wa kujipambania mwenyewe. Hakuna nn wala nn mambo yameanza chini kabisa lakin yanaenda kwa udogo wake
 
Kweli kujipambania ndo mpango mzima
 
Kuna mtu yuko dar anaishi kwa kuokota MAKOPO.

Cha msingi usijiongezee majukumu, achana na kuoa kwanza, acha kusaka wanawake, usizalishe mtu. TULIAA funga zipu TULIZA HOGO.

Usinywe mapombee, ishi karibu na sehemu ya kazi. JIHESHIMU.

Ukizalisha tu mwanamke UMEKWISHA...... na sasa hivi hatutaki watoto wa mitaanii .....hata GWAJIMA alishasema.....

Ukileta ubishi tutakuvunja hayo mayai kwa PLAIZI.

Cc: Gwajima Lloyd Munroe Mbaga Jr Poor Brain Kapeace ledada Demi
 
Kwamba miaka yote hiyo 10 atakua anafanya hiyo kazi ya laki 3
Ataenda wapi sasa labuda apige dili la wizi.mpwayungu mpaka leo anakula vumbi la chaki na ualimu wake.laki tatu sio mshahara ni panodol inatuliza maumivu siku moja mbili baadae njaa mpaka mwisho wa mwezi
 
Afanye kazindani ya miezi 8 afungue hata genge kubwa kama side hustling mana sisi wengine tuko dar mda mrefu na hao watu potential hatujawapata. Dunia ina watu wabinafsi sana.... jamaa apambane yeye kama yeye
Potential hiyo mimi dar na miaka kupi na hayo mapotential people yamejificha sijui wapi hata siyaoni hayo mamilionea.naenda bar kilabuni maofisini sijui wapi na huyo potential simuoni.na utakua wewe mkuu hebu jitokeze nipe maconekisheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…