DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mtu akiona muhitaji wa kitu flani kile kitu hakupi. Anajua akikunyima wewe itakuathiri kimawazo, kifedha, kinamna namna so anakumyima ili iwe beyond your expectation ujutie maisha yako yote kumjua. So, kwenye hatua ya kwanza ya maisha ya sasa ni kukubali kwamba si kila mtu ana roho safi. Mm nishakutana mpaka na mtanzania namba 3 mpaka leo niko kariakoo
Kweli mambo mengine ni kibali kutoka Kwa Mungu.
Kuna ndugu yangu alimaliza chuo 2021 Mwishoni Ila Leo hii hakamatiki alipata destiny helper wakaanza kufanya maisha ya Biashara na Kazi.