rebeca joseph
Member
- Apr 13, 2023
- 10
- 10
Tghs G
Tghs G
Masters haina mshaharaWakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?
Msaada wakuu.
Majeshini wanalipwa kulingana na elimu na vyeo piaSerikali hailipi mshahara kwa elimu, usijichoshe kusoma ili kuongezewa mshahara soma kwq manufaa yako!
Hakuna mshahara wa MPH as an additional qualification kuwa recartegorized, hapo utaongeza CV tuWakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?
Msaada wakuu.
Public health haina mshahara mkuu unasomaa kwa manufaa yakoWakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?
Msaada wakuu.
Kwa kada za afya zipo zenye mshahara na zipo zisizo na mshahara…Masters haina mshahara
Kasha elewa nazaniPublic health haina mshahara mkuu unasomaa kwa manufaa yako
Yaani Sociology sio watu wa afya,Hebu tueleze hapa hapa,kwani hicho ni kitengo tu chini ya Idara ya afyaAsante chief ,inamaana wa watu waliosoma sociology na course zingine ambazo sio za afya zinazoweza kusoma masters ya public health pia wakisoma masters nao mishahara yao inakua TGHS G
Ume-assume kuwa ni mwalimu sio...Wanalipa mwisho TGTS I Yani mwenye degree
Tgts H-Diploma
Tgts G-Certificate hayo ni madaraja ya mwisho kama hujajiendeleza au ulijiendeleza over