Mshahara wa Masters ya Public Health serikalini

Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?

Msaada wakuu.
Masters haina mshahara
 
Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?

Msaada wakuu.
Hakuna mshahara wa MPH as an additional qualification kuwa recartegorized, hapo utaongeza CV tu
 
Wakuu naomba msaada tafadhali kwa mtu ambaye yuko kwenye payroll ya serikali mwenye degree ya udaktari akienda kuchukua masters ya public health vp kuna namna yoyote mshahara unaongezeka?

Msaada wakuu.
Public health haina mshahara mkuu unasomaa kwa manufaa yako
 
Asante chief ,inamaana wa watu waliosoma sociology na course zingine ambazo sio za afya zinazoweza kusoma masters ya public health pia wakisoma masters nao mishahara yao inakua TGHS G
Yaani Sociology sio watu wa afya,Hebu tueleze hapa hapa,kwani hicho ni kitengo tu chini ya Idara ya afya
 
Wanalipa mwisho TGTS I Yani mwenye degree
Tgts H-Diploma
Tgts G-Certificate hayo ni madaraja ya mwisho kama hujajiendeleza au ulijiendeleza over
Ume-assume kuwa ni mwalimu sio...
 
Back
Top Bottom