Mshahara wa mfamasia serikalini

Mshahara wa mfamasia serikalini

Ze Heby

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2011
Posts
5,636
Reaction score
6,178
Wakuu heshima mbele.Naomba kujuzwa mshahara wa pharmacist serikalini ambao ni recent.Natanguliza shukrani
 
ni milioni 1.2 kaka karibu tusome pharmacy ulimwengu wa madawa...i love u pharmacy bt u love me most...
 
Mshahara wa mtu ni siri wewe unautaka wa nini?

Mkuu Molembe ni kweli ni siri ya mtu,lakini sio vibaya ukinijuza kama unajua kama ambavyo mishahara ya kada nyingine ikiwemo M.D imetajwa humu..Nioneshe nisimame wapi nami nitaisukuma dunia.
 
Kafanye kazi kamanda mishahara upande wa watumishi wa Afya ni mizuri kwa kada yako kama una shahada lazima uanzie kitu kizima na kilo kadhaa!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Kafanye kazi kamanda mishahara upande wa watumishi wa Afya ni mizuri kwa kada yako kama una shahada lazima uanzie kitu kizima na kilo kadhaa!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums

Nashukuru kwa kunisogeza sehemu
 
Back
Top Bottom