Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Unaetoa toa huu ushauri kwa vijana wewe ni mzee mstaafu??

Kama ni mstaafu unapigania vipi suala la pension yenu?

Kama ni kijana unapambana vipi kurudisha uchumi wetu unaokufa kwa speed ya mwanga?
 
Unaetoa toa huu ushauri kwa vijana wewe ni mzee mstaafu??

Kama ni mstaafu unapigania vipi suala la pension yenu?

Kama ni kijana unapambana vipi kurudisha uchumi wetu unaokufa kwa speed ya mwanga?
Namuunga mkono raisi kwa kulipa Kodi kwa wakati, na ushuru kwa maendeleo ya Tanzania yetu ya viwanda hasa tukielekea kwenye uchumi wa kati
 
Si unijuze mimi kamjuze yeye mwenyewe maana alitangaza sababu ya kurudi huko, akisema hana hiyari kwenye hilo. Post yake yenyewe hadi aliiweka sponsored watu wajue. Nashangaa unavyokinzana naye
 
Si unijuze mimi kamjuze yeye mwenyewe maana alitangaza sababu ya kurudi huko, akisema hana hiyari kwenye hilo. Post yake yenyewe hadi aliiweka sponsored watu wajue. Nashangaa unavyokinzana naye
Usiwe mbishi Basi kwa kuelewa vitu tofauti
Naongela nikifahamu ins and out za Stanford

Lete hiyo post hapa
 
Nampa hongera kwa kuwa mzalendo na kuja kuwekeza nyumbani.Ndugu zangu kusoma Stanford sio mchezo kwa kijana kutoka familia ya kawaida hiyo ni ndoto ya kutaka kukamua jiwe litoe damu.
Huyu jamaa lazima ana toka familia bora.Watu kama Richard(big brother),Mwisho mwampamba(big brother),Mo dewji, hawa ni vijana wanaotoka kwenye familia zenye fweza,uwezi kuwalinganisha na MTU kama Diamond ambaye ameanzia from scratch
 
Aangalie tu asije akalazimishwa kuwa mkuu wa mkoa fulani
 
Usiwe mbishi Basi kwa kuelewa vitu tofauti
Naongela nikifahamu ins and out za Stanford

Lete hiyo post hapa
Mimi nimeandika kile alichokieleza muda baada ya kurejea, sasa labda ukabishane na mhusika. Maana unapinga kama ni yeye vile
 
Hongera sana kwake vijana wa hivi ndio wa kuwapa moyo wengine
Namkubali pia Ismail Ahmed Executive chairman wa Worldremit (msomali)
Ambae baada ya kutimuliwa kazi huko USA kwa kuonewa akashinda kesi na kupewa fidia na kuja UK na kuanza hii biashara.

Na sasa amemuajiri aliekuwa CEO wa FTSE 100 Company kama Chief executive
Hata sisi tunaweza ni kuwa na malengo na kuangalia opportunities tu
 
Kwan niwangap walisomeshwa na serkal na hawakurud kulitumikia taifa lao
Kamuulize yeye si mimi, maana yeye ndiye alitangaza sharti la ufadhili wake ni arejee nyumbani kuisaidia nchi. Hakusemewa na mtu, sasa mnapinga maneno ya Benjamin
 
Kamuulize yeye si mimi, maana yeye ndiye alitangaza sharti la ufadhili wake ni arejee nyumbani kuisaidia nchi. Hakusemewa na mtu, sasa mnapinga maneno ya Benjamin
Kasema wapi lete source hapa asije Kuwa alikuambia mkiwa wawili tu

Naongela uzoefu na kujua kuhusu SGSB
Because my BF he graduated 3 years before Benjimani hapo hapo Stanford licha ya kwamba Ni different schools
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…