Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Hii ndio ile alosema Arthurtz Benjamin "Hustle until your haters ask if you are hiring"
Benjamin anasema na Bado. Sasa sisi tuendelee kusema
Ohoo mtoto wa baba
Ohoo scholarship lazima arudi bongo
Ohoo milioni 400

Sisi ngoja tujenge serikali ya viwanda tukielekea kwenye uchumi wa kati
 
Kasema wapi lete source hapa asije Kuwa alikuambia mkiwa wawili tu

Naongela uzoefu na kujua kuhusu SGSB
Because my BF he graduated 3 years before Benjimani hapo hapo Stanford licha ya kwamba Ni different schools
Nenda fb kwenye page yake, aliiweka hadi post hiyo sponsored kwa kuilipia hata kama hukulike unaiona post hiyo
 
Usijiongopee mradi wake ulikuwa ni bando tu. Hujui behind the scene, kasoma nje ya Tanzania asilimia 98 ya maisha yake kwahiyo exposure yake ni tofauti na vijana waliosoma vidudu mpaka chuo bongo pia anatoka familia tajiri yenye uwezo mzuri. Ndio maana tajiri ni rahisi kuendelea kufanikiwa kuliko maskini anayetaka atafute aanze zero.
Hiyo app unayosema wametengeneza vijana wa Tanzania yeye kaja na idea pamoja na capital tu.
Please usiwadharau Sana vijana wa kitanzania wanahitaji kuwezeshwa ili wawe bora zaidi..
Yangu hayo tu.
 
Hata mm ningefika chuo Lazima ningevumbua kitu, alipata elimu ya kutosha huko nje siyo bongo, Tatizo elimu ya kibongo inatuweka tuwe tegemezi
 
Kutoka family Nzuri sio hoja ya msingi kwenye mafanikio ya mtu mfano mzuri ni bill gate tu

Kutoka family Nzuri hakukufanyi utengeneze solution nzuri
Hakukufanyi ulete ushindani kwa level za kimataifa

Kinachopamba na uwezo na uweredi wako sio family hasa tunapokuja kwenye technology

He's smart and he deserves because of work hard of his and the Team
 
Halafu muelewe huyo ana chembechembe za utajiri since mdogo, amekulia mazingira ya kishua sana na amepata Exposure za kutosha

Baba yake nasikia ni yule Mwenye kituo cha TV cha ATN

"Mtanzania mwenye asili ya Asia"
Kwa nini mnataka kumtambua kama mtanzania mwenye asili ya Asia, mbona yeye anajivunia utanzani wake pamoja na kuwa nchi yenyewe imejaa vilaza na wanafiki.!
 
Kwa nini mnataka kumtambua kama mtanzania mwenye asili ya Asia, mbona yeye anajivunia utanzani wake pamoja na kuwa nchi yenyewe imejaa vilaza na wanafiki.!
wasemavyo wadau mtaani mkuu
 
wasemavyo wadau mtaani mkuu
Sio vyema kumchukulia hivyo, ndio maana tunazidi kuwa nyuma kila idara...Angalia Taifa kama Marekani ama Ufaransa wameendelea kwenye michezo sababu ya wageni wengine wananunuliwa kabisa ili kulipa heshima Taifa lao.

Sisi tumejaa ubanafsi wakati hatuna chochote cha kulifanyia Taifa letu...

Wananchi waongo waongo na wanafiki hatimaye tumeunda na serikali ya kijanjakijanja isiyopenda hata kuambiwa ukweli...

Halafu ndio wa kwanza kujiita wazalendo.
 
aisee well in good.. TANZANIA HATUPENDANI
 
Bado sielewi....anafaidikaje kwa hiyo app?
 
Bado sielewi....anafaidikaje kwa hiyo app?
Jiulize WhatsApp ananufaikaje? Kikubwa ni kusupport hiyo NALA ikifikia level flani atanufaika zaidi kuliko hizo fedha za Tuzo

Usishangae NALA inanunuliwa na PayPal akapata kuwa Board of Director.
 
Hii app niliona ikitangazwa nikaipuuziaga daah ngoja nikaichukue kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…