Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Kutoka kwenye familia nzuri kwa ukanda wetu ni kitu muhimu sana, sababu ndio kitakupa uwezo wa kupata elimu nzuri uitakayo na mahala popote pale.
Isitumie mfano wa Bill Gate kumbuka huyo amezaliwa na kukulia USA elimu yake ya msingi mpaka chuo alipoishia ni tofauti na Tanzania yetu kwa mbali sana.
Uwezo wa familia plus exposure ndio inahitajika kwenye mazingira yetu.
 
Halafu muelewe huyo ana chembechembe za utajiri since mdogo, amekulia mazingira ya kishua sana na amepata Exposure za kutosha

Baba yake nasikia ni yule Mwenye kituo cha TV cha ATN

"Mtanzania mwenye asili ya Asia"

Ni kweli baba yake ni mwenye TV ya ATN na pia ni Mchungaji wa kanisa la AGAPE.
Huyu mzee ni mpiganaji sana.

Mimi ninamuelewa toka kitambo wakati huo akijihusisha na kuanzishwa christian ministries.
Ni mchahcarikaji sana.
 
Bado sijaona jipya kwa Nala...
Kabla ya Nala kulikuwa na Mpesa app, tigopesa app na zote zinafanana na Nala.

Utofauti ni mdogo sana, na hakuna kinachowezekana kwa Nala kikashindikana kwenye app zingine.

Huyu jamaa alichokifanya ni kujitangaza na kuonesha idea yake bongo hazipo
 
Prof Lipumba anakula mpunga Buguruni bila kuumiza kichwa, elimu ya ngozi nyeuzi tii itaendelea kufa na elimu yake kichwani bila kutumia elimu yake kusaidia jamii.....

Hongera sana Benja... Kwa kuitumia vilivyo elimu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…