Tetesi: MSHAHARA WA MILIONI 400

Duh jamaaaa n jiniaz anamsemo wake "MBWA ANABEBA MIMBA NDANI YA MIEZ 6 ANAWATOTO 10•••••> LAKINI TEMBO ANABEBA MIMBA NDAN YA MIEZ 18 AF ANAZAA KATOTO KA1 ILA MTOTO WA TEMBO NI HAZINA YATAIFA WAKATI MTOTO WAUMBWA HAWANA THAMANI YOYOTE"
 
Khaa
 
Kabisa mkuu... Yani NALA hakuna jipyaaa palee...!! sema yeye kajipigia promo sana hiyo app yake.. Kwanza hakuna mtu namjua ame install app ya Nala sinaa yanii sasa ndo najiuliza kama sisi wana chuo hio app ya Nala wengi hawaijui wala kuitumia nani tz hii anaeitumia????[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
 
me nimeitumia hii app ninayo.
uzuri inafanya kazi kwa mitandao yote. na sina haja ya kuinistall app za mitandao yote miwili, hii moja tu inamaliza kila kitu.
 
Vipi mkuu bado msimamo wako ni huu huu?
 
Nchi ya Tanzania inapatikana bara la Asia?
Unamaanisha nini kwa kuuliza hivyo?

Tanzania ni nchi iliyoanza juzi juzi tu, mwaka 1964. Bara la Asia na Afrika lilikuwepo kabla ya nchi uijuayo kwa jina "Tanzania" kuwepo. Kama ulikuwa huelewi, mabara ya Asia na Afrika yalikuwa hayana mpaka "natural" mpaka zilipogawanywa na wazungu, ilipochimbwa Suez Canal, "unnatural boundary".

Tofauti ya bara la Asia na Afrika ipo zaidi kichwani mwako kwa ubaguzi uliojazwa nao, "divide and rule". Fikiri.

Unaifahamu historia, yenye ushahidi kamili wa kumbukumbu zilizopo, iliyokuwepo baina ya Afrika na Asia kabla ya ujio wa Mzungu pwani ya Afrika Mashariki na pwani za Asia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…