Moment of silent
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 855
- 1,483
Ni wazo zuri mkuu, ila kuwe na uhakika wa kuitwaTafuteni hizi design manual ambazo zinakuwa zikitumika kea miradi yote
Na hasa PDF ya kusoma Ni ile ya volume 4 ya maintanance and operationView attachment 1818536
Jee kwa wale kada za uhasibu, na afisa maendeleo ya jamii hapo ume specify kwa kada za uhandisi tu mkuuTafuteni hizi design manual ambazo zinakuwa zikitumika kea miradi yote
Na hasa PDF ya kusoma Ni ile ya volume 4 ya maintanance and operationView attachment 1818536
Nahisi solution mwafaka now, ni kuwapigia simu, bahati nzur kila mkoa na wilaya wameweka contact zao za simu ukiingia katika website yao, tuwapigieni simu tupate jibu mwafaka, kama program ya kujitolea ipo au haipo, au mnaonaje wakuu??17.06.2021..
Siku znaenda kasi san, na hamsemi
PointNahisi solution mwafaka now, ni kuwapigia simu, bahati nzur kila mkoa na wilaya wameweka contact zao za simu ukiingia katika website yao, tuwapigieni simu tupate jibu mwafaka, kama program ya kujitolea ipo au haipo, au mnaonaje wakuu??
Kwann mkuu?Wakuu huu mkeka nahis ushachanika sasa..
Kwa nafas ipi mkuu? Na kwa kada gani?Nimeona tangazo ajiraportal this time sifanyi makosa lazima niwemo kwenye kanzidata
HydrologyKwa nafas ipi mkuu? Na kwa kada gani?