Mshahara wa miradi ya RUWASA

Mshahara wa miradi ya RUWASA

17.06.2021..

Siku znaenda kasi san, na hamsemi
Nahisi solution mwafaka now, ni kuwapigia simu, bahati nzur kila mkoa na wilaya wameweka contact zao za simu ukiingia katika website yao, tuwapigieni simu tupate jibu mwafaka, kama program ya kujitolea ipo au haipo, au mnaonaje wakuu??
 
Nadropisha contact adress zao makao makuu ya RUWASA Dodoma.👐

Anuani: Benki ya NBC,Tawi la Mazengo, Barabara Kuu, S. L. P 412, 40473 DODOMA.
Simu: +255 2323563/4
Barua Pepe: dg@ruwasa.go.tz
Masaa ya Kazi: Jumatatu-Ijumaa: 1:30 - 9:30
 
Wakuu bado kimya Ila me Kuna fursa hi ya sekratieti ya ajira sitaiacha Nina uhakika enterview Yao Nita perform
 
Nimeona tangazo ajiraportal this time sifanyi makosa lazima niwemo kwenye kanzidata
 
Hii nchi ngumu sana kila siku mikeka watu wanaenda kulipwa mamilioni,,
Sie wengne watu tusojulikana hatuimbi mziki wala hatuigizi na wazee wetu hawajulikani ni kina nan,nafasi za kujitolea t na tumetumia gharama zetu kufanya maombi mwez wa nne huu wat wametulia buyu...
 
Back
Top Bottom