ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ofisi za ruwasa za mkoa au pia DM wa wilaya anaweza kuhusika Sana ofisi yake ikakuita ruwasa wilayaKo wizara ndo itatoa hayo majina ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ofisi za ruwasa za mkoa au pia DM wa wilaya anaweza kuhusika Sana ofisi yake ikakuita ruwasa wilayaKo wizara ndo itatoa hayo majina ..
kama wamepeleka hayo majina wizarani its better wakaya publish tu inaweza kua good option.Simu zenu zikae standby huenda next week
Daah na iwe hvyo!! Maana mwez wa 5 umekwenda wote!Simu zenu zikae standby huenda next week
InavyosemakanaKo wizara ndo itatoa hayo majina ..
Hawakusema idadi wanayohitaji.sijui imekaaje hiiInavyosemakana
Walisema nafasi Ni kwa mikoa yote ya bara isipokuwa dar es salaam ambayo ipo chini ya mamlaka..Hawakusema idadi wanayohitaji.sijui imekaaje hii
Kule tupo wachache sana na hakika nduguHawakusema idadi wanayohitaji.sijui imekaaje hii
Kule tupo wqchavhHawakusema idadi wanayohitaji.sijui imekaaje hii
Kwahiyo iko tamaa ya kuajiri watu? Kwa kigezo cha kujitolea?Watu wapo wachache na hakika kwa sababu wale jamaaa walisema kujitolea so weng waliamua piga chin
Mamlaka zinajiendesha zenyewe Hadi mishahara wanalipa waoNje ya mada....hivi mamlaka za maji mishahara yao inafanana? Na malipo yanatoka wizarani au ni hapohapo mamlaka
So mishahara inafanana au kila mamlaka inajipangiaMamlaka zinajiendesha zenyewe Hadi mishahara wanalipa wao
Acha kabisa mkuu ngoja ngoja inaumiza matumbo balaa...sijui Ila tuwape mda kidogo mwezi wa Saba sio mbaliWakuu hiki kitu kipo bado au walishaghairisha.
Mkuu mwez wa saba ..Acha kabisa mkuu ngoja ngoja inaumiza matumbo balaa...sijui Ila tuwape mda kidogo mwezi wa Saba sio mbali