Mkuu hujanielewa nilitaka kujua koz atanipigia simu tunegoniate malipo ndio maana nataka kujua ili nijue pa kuanziaKazi kweli....unafikiri mishahara itakuwa sawa Seminary zote? Ulishindwa nini kumuuliza aliyekupigia simu ili akwambie? Kwa kawaida hayta ndani ya Seminary kunaweza kuwa na viwango tofauti vya mishahara, wanaojitambua watapewa kiwango kikubwa na wakati wasiojitambua wanaweza kulipwa kidogo
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary ,wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi huko.Sasa mishahara yao siijui naomba kujuzwa wanalipwaje?
Akikupigia wewe ndio umuulize watakulipa kiasi gani? Ukiona ndogo ndo umwambie wakuongezee....Mkuu hujanielewa nilitaka kujua koz atanipigia simu tunegoniate malipo ndio maana nataka kujua ili nijue pa kuanzia
Nataka kujua nimwambie anilipe sh ngapi badae
about laki 6.5 kwenda mbele
about laki 6.5 kwenda mbele
aje pharmacy for degree holder starting salary n em na kilo1 serikalini