MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 621
Wadau naomba kujua mshahara wa mwalimu wa a level physics shule za seminary ,wiki iliyopita nimepigiwa simu na kiongozi mmoja wa shule ya seminary kaskazini niende tuongee ikiwezekana nianze kazi huko.Sasa mishahara yao siijui naomba kujuzwa wanalipwaje?