Kwa maana hiyo, wasio wanachama, wanakatwa kiwango sawa na ambao ni wanachama? Au kuna utofauti?Anaambiwa ni ADA YA UWAKALA.
Yaani, Mfano wanajifanya wanatetea labda ongezeko la mshahara ikitokea LIKAPATIKANA na nyie ambao siyo wanachama MTANUFAIKA.
Kwahiyo Kwasababu Kuna mambo utanufaika ndio WANAKATA hiyo pesa Kama wanavyokata wanachama wao.
Ingawa ni WIZI tu unaofanywa kwa baraka za serikali.
Kiwango ni kile kile. Tena wanachama Wana manufaa zaidi kuliko wasio wanachama licha ya kuchangia sawa.Kwa maana hiyo, wasio wanachama, wanakatwa kiwango sawa na ambao ni wanachama? Au kuna utofauti?
Na inakuwaje unakatwa bila ww kusaini makubaliano?Kiwango ni kile kile. Tena wanachama Wana manufaa zaidi kuliko wasio wanachama licha ya kuchangia sawa.
Yaani DHULMA inafanyika kwa kushirikiana na serikali.
Sheria ya Ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 Ina hiyo loophole.Na inakuwaje unakatwa bila ww kusaini makubaliano?
Aisee, pole yao waalim. Maana huu ni unyonyaji. Ndio maana mpwayungu village alikataa kureport kazini, akaachana na ualimuSheria ya Ajira na mahusiano kazini ya mwaka 2004 Ina hiyo loophole.
Hiyo inawahusu wafanyakazi wote. Siyo walimu peke yao.Aisee, pole yao waalim. Maana huu ni unyonyaji. Ndio maana mpwayungu village alikataa kureport kazini, akaachana na ualimu
Serikali na hivyo vyama la kwao ni moja.Hapo lawama zote zinabidi ziende Kwa serikali Kwa kushindwa kuwamulika hao viongozi wa cwt
Atleast sekta zingine, taasis zao zina make sense. Makato ya CWT ndio yamekaa kijanja janja, maana miaka nenda rudi nawasikia wakilalamika tuHiyo inawahusu wafanyakazi wote. Siyo walimu peke yao.
Watumishi wote ni yale yale. Walimu wanasikika sana Kwasababu ni WENGI.Atleast sekta zingine, taasis zao zina make sense. Makato ya CWT ndio yamekaa kijanja janja, maana miaka nenda rudi nawasikia wakilalamika tu
Sasa hivi uko taaluma gani?Ualimu niliukimbia mwenyewe mchana kweupe..
Kumbe nawe ni mwalimu!!!!Niliandika barua kupita Mkuu wa Shule,Afisa elimu na mkurugenzi kuandika kuomba kujitoa unatoka CWT then unahamia Chakuwahata wao wanakata elf Tano tu maaana mtumishi wa Umma unapaswa uwe kwenye vyama vya wafanyakazi
Niko occupied kidogo ningetumia rough format humu ya Ile barua yangu ila Sasa ufatilie maaana ukikaa kimya hawakutoi
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Tobaa....ππππkumbe mpo wengiNilekeze jinsi yankujitoa talgwu
Viongozi wa TALGWU ikifika Mei Mosi au wakati wa Mikutano yao WANAVYOKULA MINYAMA na BIAπππHapo ujue DHRO na DED siyo wanufaika.
Wakija wengine, utawekwa na HAKUNA kitu utafanya.
Niko Mgodini.Sasa hivi uko taaluma gani?
Rudi chakamwata kimeshinda kesi dhidi ya waliotaka kife, chakamwata ndio muarobaini wa walimu,Niko zangu CHAKUHAWATA