Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Kwa maana hiyo, wasio wanachama, wanakatwa kiwango sawa na ambao ni wanachama? Au kuna utofauti?Anaambiwa ni ADA YA UWAKALA.
Yaani, Mfano wanajifanya wanatetea labda ongezeko la mshahara ikitokea LIKAPATIKANA na nyie ambao siyo wanachama MTANUFAIKA.
Kwahiyo Kwasababu Kuna mambo utanufaika ndio WANAKATA hiyo pesa Kama wanavyokata wanachama wao.
Ingawa ni WIZI tu unaofanywa kwa baraka za serikali.