Mshahara wa mwanamke na mwanamke

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Mwanamke na mwanaume wanapoana na bahati nzuri wakawa wanafanya kazi huwa ni neema ndani ya nyumba na maendeleo yatakuja kwa sana na watoto hawatapata shida

Tatizo lipo kwa mwanaume,mwanaume kama kichwa cha familia inapaswa aweke hadharani matumizi ya mshahara wake mbele ya mke wake kwa sababu mwanaume hawaeleweki

Mwanaume anaweza akachukua mshahara wake akawa anapeleka kwa michepuko huku akitegemea kuwa mke wa ndoa ana mshahara hivyo watoto hawawezi kulala njaa

Mwanamke unapaswa umuulize mwanaume mchanganuo wa matumizi ya mshahara wake kuanzia A-Z

Mwanaume akikataa kukuweka wazi ujue anafamilia zaidi ya 100 hapa mjini wanaoishi kwa mshahara wa mumeo

Akinunua kitu au kama akikwambia amepeleka sehemu lazima uhakikishe umekiona anachokwambia (eye withness)

Bila hivyo mshahara wa mwanamke au kipato chako ndo kitakuwa kinatumika ndani mwanaume anastarehe na michepuko na mshahara huo ukikuza familia za wanaume wengine,yaani wanaume wa hivyo bora muachane
 
Wa kwake aweke wazi,mbona wa mwanamke hujasema uwekwe wazi matumizi.
Mwandishi acha umimi,kwa staili hiyo huwezi kaa na mume kama unafanya kazi.Write your reply...
 
Mshahar wa mwanamke ni wake pekee yake ila wa mwanaume ni wa wote
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ndio hivyo sasa Ambiele,.ndio maana nikasema kuwa tusimame kwenye nafasi zetu,..hayo mengine ni changamoto ndogo-ndogo tuu[emoji16]
Ah ah h kama umetoa luksa ya kushare mwil mmoja na mumewe y una kwikwi katika mshahala wako...?

Na mshahala tushee tuuu hakuna namna
 
Mshahara wa mwanamke haudaiwi mwanaume kaa kwenye nafasi yako mke anajitambua atajiongeza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Na mwanamke asiyejitambua?
 
Mshahara wa mwanamke haudaiwi mwanaume kaa kwenye nafasi yako mke anajitambua atajiongeza tu[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
exactly, yani mimi jamani mume wangu hata hajui ninapata sh. ngapi na hajawahi kuuliza na nikiwa na shida ya pesa nikimwambia kama ipo ananipa na wala hauulizi kwamba wangu nimepeleka wapi. Hivyo ndivyo mwanaume anatakiwa kuwa, majukumu ya kutunza nyumba na mke ni ya baba mimi kama wanamke kuchangia ni ziada tu
 
Kama natimiza mahitaji ya nyumbani kama mume basi sitaki maswali mengi juu ya mshahara wangu umetumikaje.
Ukiwapa uhuru mwingi wanawake atakuongoza na kukuburuza sana kwenye ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…