cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Mwanamke na mwanaume wanapoana na bahati nzuri wakawa wanafanya kazi huwa ni neema ndani ya nyumba na maendeleo yatakuja kwa sana na watoto hawatapata shida
Tatizo lipo kwa mwanaume,mwanaume kama kichwa cha familia inapaswa aweke hadharani matumizi ya mshahara wake mbele ya mke wake kwa sababu mwanaume hawaeleweki
Mwanaume anaweza akachukua mshahara wake akawa anapeleka kwa michepuko huku akitegemea kuwa mke wa ndoa ana mshahara hivyo watoto hawawezi kulala njaa
Mwanamke unapaswa umuulize mwanaume mchanganuo wa matumizi ya mshahara wake kuanzia A-Z
Mwanaume akikataa kukuweka wazi ujue anafamilia zaidi ya 100 hapa mjini wanaoishi kwa mshahara wa mumeo
Akinunua kitu au kama akikwambia amepeleka sehemu lazima uhakikishe umekiona anachokwambia (eye withness)
Bila hivyo mshahara wa mwanamke au kipato chako ndo kitakuwa kinatumika ndani mwanaume anastarehe na michepuko na mshahara huo ukikuza familia za wanaume wengine,yaani wanaume wa hivyo bora muachane