Mshahara wa mwezi juni 2020

Hivi bado hamjapata tu hizo salary zenu wakuu WIKIEND hii tuende zetu bar
 
Jamani kwa ninyi mlio huko makao makuu. Mshahara wa July vipi?
 
Nawaza nauli ya kesho asubuhi. Ya mpaka posta ninayo. Shughuli ipo posta Masaki. Kula mchana na kurudi
 
Pambana mkuu, ukiishiwa nauli nenda ikulu kamuombe mkulu.
Mkulu Yuko Dom. Niko jiji la laana. Kama Sina nauli ya Masaki itakua ya Dom. Nakupa namba yangu pm unirushie japo alfu ya mihogo mchana maana Kuna uwezekano Leo wa kutembea toka Masaki Hadi Buza
 
Mkulu Yuko Dom. Niko jiji la laana. Kama Sina nauli ya Masaki itakua ya Dom. Nakupa namba yangu pm unirushie japo alfu ya mihogo mchana maana Kuna uwezekano Leo wa kutembea toka Masaki Hadi Buza
Usihofu mkuu utapata lift jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…