MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hivi bado hamjapata tu hizo salary zenu wakuu WIKIEND hii tuende zetu bar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeJamani kwa ninyi mlio huko makao makuu. Mshahara wa July vipi?
Pambana mkuu, ukiishiwa nauli nenda ikulu kamuombe mkulu.Nawaza nauli ya kesho asubuhi. Ya mpaka posta ninayo. Shughuli ipo posta Masaki. Kula mchana na kurudi
Mkulu Yuko Dom. Niko jiji la laana. Kama Sina nauli ya Masaki itakua ya Dom. Nakupa namba yangu pm unirushie japo alfu ya mihogo mchana maana Kuna uwezekano Leo wa kutembea toka Masaki Hadi BuzaPambana mkuu, ukiishiwa nauli nenda ikulu kamuombe mkulu.
Usihofu mkuu utapata lift jioniMkulu Yuko Dom. Niko jiji la laana. Kama Sina nauli ya Masaki itakua ya Dom. Nakupa namba yangu pm unirushie japo alfu ya mihogo mchana maana Kuna uwezekano Leo wa kutembea toka Masaki Hadi Buza