ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nimekaa palee nasubiri mshahara utoke nimtumie mayele hela ya mafuta unbeaten kisha ninunue k vant bwaku nimekaa paleee wakuteseka acha wateseke.
Kesho ndo nianze kulipa madeni ya watu je wewe unasubiria mama acheke ili ufanyie nini pesa? Wenye nyumba tumerudi kwaheri.
Kesho ndo nianze kulipa madeni ya watu je wewe unasubiria mama acheke ili ufanyie nini pesa? Wenye nyumba tumerudi kwaheri.