Mshahara wa Rais Magufuli wawa gumzo Kenya

Huyu jamaa anafix sana, juzi alitudanganya bei ya sukari na fix zakutosha hamna lolote huyo analipwa pesa mara kumi ya hyo aliyotaja, hata akileta salary slip bado jamaa ni pathological liar
 
Yaani lazima mponde tu ...duh
 
Alituahidi kuweka hadharani Salary Slip yake leo ni mwaka wa pili kimya sana,kwa tunaomfahamu hatusumbui sababu hayo ni maropoko kama yale mengine.
 
kwa wale wasiolewa non nonesense

no-non·sense

adjective
simple and straightforward; sensible.
synonyms: straightforward, forthright, upfront, pragmatic, down-to-earth, down-to-business, matter-of-fact
"we like your no-nonsense approach"

maana naona kiingereza rahisi tu watu kimewapiga chenga
 
nin
a duka mshahara wangu ni elfu ishirini tu jamani ila mauzo ni milioni tano kwa mwezi.mimi mzalendo sana
 
Jiandae
 

Mkuu. .........acha bhna kuponda nchii yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…