Mshahara wa Senior Economist I / Mchumi mwandamizi I

Mshahara wa Senior Economist I / Mchumi mwandamizi I

KDS

Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
48
Reaction score
17
Naomba msaada anayefahamu Basic salary ya Senior Economist I/Mchumi mwandamizi I wa Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) tafadhali...... ni muhimu.
 
Naomba msaada anayefahamu Basic salary ya Senior Economist I/Mchumi mwandamizi I wa Petroleum Upstream Regulatory Authority (PURA) tafadhali...... ni muhimu.
Mkuu, basic salary ya Mchumi Mwandamizi I (Senior Economist I) wa PURA inategemea salary scale ya kada husika. Mwenye taarifa sahihi za kiwango cha mshahara wa sasa, naomba atusaidie, ikiwezekana bila kujumlisha posho. Taarifa sahihi zitasaidia sana. Asanteni.
 
  • Thanks
Reactions: KDS
Usikimbilie mshahara boss! Tunaangalia mambo haya ambayo huwezi kuyaona mpaka siku ukiingia kwenye hiyo taasisi ndo utajua
1: extra duty
2: hela ya chai
3: hela ya usafiri
4: posho ya chakula
5: hela ya nyumba
6: hela ya mawasiliano & bando
7: safari

Hivyi pekee vinapita mshahara mbali sana na ndivyo vinavyoweka watu mjini! Mishahara ni ya kawaida sana ila hivvyi vikiwepo mzee mshahara hata huwazi! Maana hizi posho hazina makato! Ukiona ajira inatangazwa usikimbilie kuangalia mshahara! Mshahara unaweza kuwa 700k lakini posho hizo zote ni 2.5M net
Ukijumlisha na mshahara unachezea 3M
 
Back
Top Bottom