Mshahara wa tpdc

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180

Habari zenu wadau,samahani sana naomba kujuzwa kwa wale wanaofanya kazi TPDC au hata wasiofanya kazi huko lakini huenda wakawa wanafahamu huu mshahara wa ( TPDC Scheme of service in the salary scale of TPDC RS 1) ni shilling ngapi?? Natanguliza shukrani.
 
Huu uzi ni wa 2014.
Haina haja kumjibu Sasa hivi.
Kama alipata kazi huko basi ashajenga, ashanunua gari na kumiliki duka zuri. Kama ni mlevi wa wanawake au pombe basi bado anaishi maisha magumu
[emoji23][emoji23]mimi natakaka kujua ndo maana thread huishi kwaajili ya baadaye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…