Saluti wadau wa JF!
Naomba msaada mimi na jamaa yangu tumepata nafasi ya ututorial assistant na Laboratory technician ila kwa sasa tuna kazi sehemu hivyo tunataka kujua maslahi yakoje ili tuamue kwenda au la maana tupo mbali na jiji tupo mikoani. Kama kuna mtu mwenye details atusaidie jamani tuwe na maamuzi sahihi.
Acha uzushi kweli hawajanitumia chochote ndo nataka niende nikachukue hivyo nataka nijue panakuwaje ili nisichome nauli bure ikaw sio poahuyu mtoa thread mzushi,kazi gani umepata alafu hujui mshahara kiasi gani?
kwani barua yako ya kuitwa kazini/ offer haina maelezo juu ya maslahii ya mfanyakazi?
au labda umealikwa kwenye usahili unataka wana jf wakusaidie scale ya mshahara ya hiyo taasisi ,funguka vizuri tukusaidie
its simple bro!kama unaona ishu ni kuchoma nauli kwenda bagamoyo,waambie barua wakutumie kwa faxAcha uzushi kweli hawajanitumia chochote ndo nataka niende nikachukue hivyo nataka nijue panakuwaje ili nisichome nauli bure ikaw sio poa
its simple bro!kama unaona ishu ni kuchoma nauli kwenda bagamoyo,waambie barua wakutumie kwa fax
alafu hizo taarifa za kupata ajira ulizipata kwanjia gani? maana naona thread zako haziingii akilini kwangu kuhusu hiyo ajira yako!
NDG yangu naheshimu mawazo yako, walinopigia simu wakaniambia kuwa nilishinda interview,wakasema wanaandaa mambo sasa lengo lang nijuie mapema inakuwaje. Sasa nidokezee kwa nini basi au nipm ili niasiliane na ww maana siwezi kukupm sijatimiza mashartKomaa hapo ulipo
Usinikashifu hivo bana hebu ona nlivyomjibu chumvichumvi