U Uncertainty Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70 Reaction score 27 Mar 6, 2015 #1 Great ones, Naomba kwa anaefahamu anisaidie hili; kipi ni kima cha chini kilichowekwa na Serikali kwa wafanyakazi wa kuhudumu (waiter/waitress) wanaofanya kazi kwenye hoteli yenye nyota nne au tano! Asanteni!
Great ones, Naomba kwa anaefahamu anisaidie hili; kipi ni kima cha chini kilichowekwa na Serikali kwa wafanyakazi wa kuhudumu (waiter/waitress) wanaofanya kazi kwenye hoteli yenye nyota nne au tano! Asanteni!
B bejamini Senior Member Joined Sep 13, 2013 Posts 121 Reaction score 13 Mar 6, 2015 #2 sina exactly statistics za serikali ila kuna rafiki yangu yupo ARC Hotel ambayo ni nyota tano anadai wanamlipa laki Tatu kwa sasa
sina exactly statistics za serikali ila kuna rafiki yangu yupo ARC Hotel ambayo ni nyota tano anadai wanamlipa laki Tatu kwa sasa
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 6, 2015 #3 laki 4 kama ckosei.
Troll JF JF-Expert Member Joined Feb 6, 2015 Posts 7,804 Reaction score 12,237 Mar 7, 2015 #4 1,200,456/=
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Mar 7, 2015 #5 Allen Snr said: 1,200,456/= Click to expand... Umesherehesha tu hapa...
U Uncertainty Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70 Reaction score 27 Mar 7, 2015 Thread starter #6 Asanteni Great ones
F Fundi el makro Member Joined Dec 20, 2013 Posts 79 Reaction score 11 Mar 9, 2015 #7 Tgos 14. Tsh2,400,000 basic salary. Sawa na usd 1500
Punda wa Dobi JF-Expert Member Joined Jul 4, 2013 Posts 591 Reaction score 237 Mar 11, 2015 #8 Fundi el makro said: Tgos 14. Tsh2,400,000 basic salary. Sawa na usd 1500 Click to expand... mbuta nanga
Fundi el makro said: Tgos 14. Tsh2,400,000 basic salary. Sawa na usd 1500 Click to expand... mbuta nanga