Mshahara wa wahudumu wa hoteli za nyota tano

Mshahara wa wahudumu wa hoteli za nyota tano

Uncertainty

Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
70
Reaction score
27
Great ones,

Naomba kwa anaefahamu anisaidie hili; kipi ni kima cha chini kilichowekwa na Serikali kwa wafanyakazi wa kuhudumu (waiter/waitress) wanaofanya kazi kwenye hoteli yenye nyota nne au tano!

Asanteni!
 
sina exactly statistics za serikali ila kuna rafiki yangu yupo ARC Hotel ambayo ni nyota tano anadai wanamlipa laki Tatu kwa sasa
 
Back
Top Bottom